• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MAADHIMSIHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KATA YA MAFIGA YAFANA

Posted on: June 14th, 2022

KATA ya Mafiga Manispaa ya Morogoro imedhimisha kilele cha Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani pamoja na kuadhimisha Siku ya Lishe Duniani.

Maadhimisho hayo yamefanyika leo Juni 14/2022 kwenye Ofisi ya Kata ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku hiyo ambayo Manispaa ya Morogoro ifanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mwembesongo Juni 16/2022.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, mgeni rasmi ambaye ni Afisa Tarafa Manispaa ya Morogoro, Winferd Kipako, amewataka wazazi kuwajali na kuwapenda watoto wao kwani waliwaleta duniani kwa mapenzi yao wenyewe yawapasa kuwalea na kuwakinga na ukatili wa kijinsia.

Kipako, amesema kuwa, wazazi wanawajibika kikamilifu katika kuhakikisha watoto wao wanapata elimu, kuwalinda na ukatili wa kijinsia pamoja na kupinga ndoa za utotoni ambazo zinawakatisha masomo watoto hao.

"Hakuna mtoto aliyeomba kuja duniani bali ni sisi wazazi kwa starehe zetu tumewaleta hawa watoto na lazima tuwajali na kuwalinda, kuwapa elimu na pia kutowakatisha masomo yao na kupelekea ndoa za utotoni," Amesema Kipako.

Na kwa upande wa Diwani wa Kata ya Mafiga, Mhe. Thomas Butabile, amesema kuwa watoto ni tuni ya taifa yapaswa kulindwa kwani kauli mbiu ya mwaka huu katika siku ya mtoto wa Afrika kwa hapa nchini inayosema TUIMARISHE ULINZI WA MTOTO, TOKOMEZA UKATILI DHIDI YAKE,JIANDAE KUHESABIWA, inalenga katika kuhamasisha ulinzi wa watoto ili waweze kusoma kwa bidii ili baadae na wao waje kuwa wabunge na mawaziri.

Maadhimisho hayo yalienda sambamba na maadhimisho ya siku ya lishe duniani ambapo tulishuhudia wanafunzi kutoka shule mbalimbali zilizopo Kata ya Mafiga wakinywa uji ambao umechanganywa na mchanganyiko wa lishe mbalimbali.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA MOROGORO May 23, 2022
  • MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MANISPAA YA MOROGORO TAREHE 3/08/2019 July 30, 2019
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA ATOA NENO KUHUSU UTAPIAMLO.

    August 05, 2022
  • MANISPAA MORO YAOMBA USHIRIKIANO NA TIC KUTANGAZA MAENEO YAKE YA UWEKEZAJI

    August 03, 2022
  • MAONESHOYA NANENANE KANDA YA MASHARIKI YAANZA KWA KASI MKOA WA MOROGORO

    August 01, 2022
  • LUKWELE APITA KWA KISHINDO UCHAGUZI NAIBU MEYA MANISPAA YA MOROGORO

    July 20, 2022
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa