Majukumuya Idara
1. Kutoa mafunzo kwa watumishi sita juu ya taaluma ya kukusanya mapato
2. Kuandaa taarifa ya kila siku ya mapato
3. Kuweka stakabadhi za mapato Katika kitabu cha mapato kwa kutumia mfumo wa EPICOR
4. Kuandaa rejesta za walipa kodi
5. Kufanya utafiti wa kujua vyanzo vingine vya mapato kwa lengo la kupanua wigo wa mapato.
6. Kufanya mapitio ya Sheria ndogo ndogo za mapato.
7. Kuandaa malipo ya kila siku na kuyaweka kwenye kitabu cha malipo kwa kutumia mfumo wa Epicor
8. Kutunza vocha za malipo zikiwa zimeambatanishwa na vielelezo vyake kwa Wakati muafaka.
9. Kuandaa malipo kwa watumishi, watoa huduma kwa wakati.
10. Kutoa mafunzo kwa watumishi kwa ngazi ya D-F
11. Kuandaa taarifa za hesabu za fedha za kila mwezi, robo mwaka na mwaka mzima.
12. Kuandaa taarifa za fedha na bajeti .
Biashara
1. Kununua vifaa vya kutosha (vitendea kazi)
2. Kutoa mafunzo kwa wakufunzi (ToT)
3. Kutoa mafunzo kwa wajasiliamali
4. Kutoa leseni za vileo
5. Kukusanya ushuru wa hoteli kwa wakati
6 Kukagua maeneo ya biashara kama vile baa, nyumba za kulala wageni.
7. Kuandaa semina kwa wadau
8 Kutoa elimu kwa umma kupitia vyombo vya habari
9. Kutoa mafunzo kwa Maafisa Watendaji wa Kata na viongozi wa Mitaa kuhusu taratibu za kupata leseni.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa