• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA MOROGORO YAIBUKA KINARA WA LISHE MKOA WA MOROGORO

Posted on: February 5th, 2021

Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro  Februari 03/2020 , imeibuka kuwa kinara wa lishe katika Mkoa wa Morogoro ikifuatiwa na Halmashauri ya Mvomero na Kilosa.

Akizungumza mara baada ya kupokea ushindi huo wa cheti cha shukrani kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Afisa Lishe Manispaa ya Morogoro Elina Kweka,amesema ushindi huo umeifanya Manispaa  kuanza kuongeza kasi zaidi ya kupambana na changamoto za lishe duni kwa watoto.

Kweka, amesema kuwa,watahakikisha kwamba wanaongeza uelewa na matokeo chanya kwa jamii ili kukabiliana na changamoto za afya na lishe zinazowakabili watoto.

“Tumepokea cheti cha shukrani cha kuwa kinara wa lishe kimkoa, lakini ushindi huu umechangiwa na watu wengi , kwanza kabisa nimpongeze Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kwa kutenga fedha ambazo zimekuwa zikisaidia katika lishe, Baraza la Madiwani la Manispaa , Mganga Mkuu wa Manispaa , Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa, wadau wa lishe, pamoja na watoa huduma ngazi ya jamii na ngazi ya vituo vya kutolea huduma, kwakweli wamefanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha Manispaa ya Morogoro inatokomeza watoto wenye udumavu, ombi langu endeleeni kupambana ikiwa ni pamoja na kutoa elimu mara kwa mara ili huduma hii iweze kutekelezeka vizuri katika Jamii”Amesema Kweka.

Matangazo

  • HERI YA SIKUKUU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA WA 2021 December 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA TATU TAREHE 20/6/2020 June 12, 2020
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU October 20, 2020
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WANAOTAKA KUPANGA VIOSKI MANISPAA YA MOROGORO March 25, 2020
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA MOROGORO YAIBUKA KINARA WA LISHE MKOA WA MOROGORO

    February 05, 2021
  • WANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA MADARASA

    January 28, 2021
  • WAITARA ARIDHISHWA NA USAFI MANISPAA YA MOROGORO, ATAKA KASI IONGEZWE KATIKA UPATIKANAJI WA DAMPO LA KISASA

    January 25, 2021
  • MEYA KIHANGA AWACHARUKIA WAALIMU WAKUU, AWATAKA WAJITATHIMINI

    January 19, 2021
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa