Shughuli mbalimbali za uendelezaji mifugo na uvuvi zinazofanyika ndani ya Halmashauri. Kazi zilizofanyika ni:
1. Kutoa ushauri juu ya ufugaji bora ili kuendeleakuboresha mazao yatokanayo na mifugo nakuongeza kipato kwa wafugaji.
2. Kutoa hudumaza kuhasi wanyama na usimamizi wa uogeshaji wa mifugo
3. Utambuziwa mahitaji ya mafunzo mbalimbali ya wafugaji samaki kwa kuwatembelea nakusikiliza mahitaji yao. Kuandaa na kuhakikisha wafugaji wanapata mafunzokulingana na mahitaji yao
4.Kutoa kinga na tiba dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mifugo
5. Usimamizi wauchunaji na wawamba ngozi zinazozalishwa ndani ya machinjio ukusanyaji waushuru wa usafirishaji wa ngozi
6. Usimamizi washughuli mbalimbali zinazofanyika machinjioni i.e uchinjaji na ukaguzi wa nyamapamoja na usafi wa machinjio.
7. Kutoa elimu yauhifadhi bora wa maziwa pamoja na kuhakiki ubora wa maziwa katika kituo chakukusanyia maziwa cha Uwamamo
8 Usimamizi wavikundi vya kuku pamoja na ujenzi wa mashamba darasa ya kuku katika kata yaMindu na shamba darasa la samaki kata ya Bigwa.
9. Kusimamiashughuli za mnada na usafirishaji wa mifugo inayouzwa mnadani na ile inayosafirishwandani na nje ya Mkoa wa Morogoro.
10. Kusimamiaukusanyaji wa mapato ya Halmashauri yatokanayo na shughuli za mnada na ukaguzi wanyamamachinjioni.
11. Kuratibu nakufanya Kikao cha wadau wa Maziwa kilicholenga kutoa elimu ya uanzishaji wa Jukwaa la maziwa kama namna bora ya kukabiliana na changamoto zatasnia ya maziwa.
12. Uanzishaji wavikundi vya wafugaji kuku kupitia shirika la SWISSCONTACT katika katambalimbali za Manispaa.
Hali ya malisho na afya ya mifugo
Malisho na maji yamepatikana kwa kiasi cha kuridhisha.Magonjwa ya mlipuko yaliyo tolewa tarifa ni FMD ambayo bado ipo kidogo kata yaKingolwira na Kilakala.
MAZAO YATOKANAYO NA MIFUGO
Usafi na ukaguzi wa nyama katika Kata:
(i) Idadi ya mifugo iliyochinjwa na kukaguliwa katikakata ni kama inavyoonyeshwa hapa chini:-
Mwezi
|
Aina ya mifugo
|
||||
Ng’ombe
|
Mbuzi
|
Nguruwe
|
Kuku Kisasa
|
Kuku kienyeji
|
|
April
|
16
|
106
|
137
|
23,672
|
8,837
|
Mei
|
0
|
43
|
110
|
19,124
|
9,208
|
Juni
|
22
|
81
|
45
|
18,604
|
13,111
|
JUMLA
|
38
|
230
|
292
|
61,400
|
31,156
|
Bei ya Nyama:
Aina
|
Steki
|
Mchanganyiko
|
Maini
|
Kichwa
|
Utumbo
|
|
Bei (Tsh)
|
7000.00
|
6000.00
|
8000.00
|
15,000.00
|
2000.00
|
|
Uzalishaji wa Jibini (Cheese)
Mwezi
|
Kiasi (kg)
|
April
|
10
|
May
|
7
|
June
|
7
|
JUMLA
|
24
|
Zao la ngozi
Mwezi |
Ngozi za Ng’ombe
|
Uzito Wastani (Kg)
|
Thamani (Tshs)
@1000/= |
Ngozi za mbuzi
|
Uzito Wastani (Kg)
|
Thamani (Tshs)
@1000/= |
April
|
3,110
|
41,985
|
41,985,000.00
|
0
|
0
|
0
|
May
|
3,130
|
42,255
|
42,255,000.00
|
0
|
0
|
0
|
June
|
3,087
|
41,675
|
41,675,000.00
|
0
|
0
|
0
|
Jumla
|
9,327
|
125,914.5
|
125,914,500.00
|
0
|
0
|
0
|
Ngozi zilizokaushwa katika kata:
Kingolwira: 51 ;
34 zimekaushwa kwa jua
17 zimekaushwa kwa chumvi
Lukobe: 12;
12zimekaushwa kwa jua
Changamotokwenye zao la ngozi
Kukosekana kwa soko langozi zinazokaushwa kwa njia ya hewa hivyo kuwalazimu wafanyabiashara wote wangozi kuhamia kwenye njia ya ukaushaji wa chumvi ambayo ina gharama zaidi hivyokuwarudisha nyuma kiuchumi.
Huduma za mifugozilizofanyika:
(a) Uogeshaji:
Mwezi
|
Ng’ombe
|
Mbwa
|
Mbuzi
|
Kondoo
|
Aina za dawa
|
April
|
2,635
|
656
|
620
|
0
|
tick fix /Paranex/Albadip/Tactic/Steledone/Cybadip/Dominex
|
May
|
2,590
|
743
|
556
|
165
|
|
June
|
2,680
|
569
|
683
|
0
|
|
JUMLA:
|
7,905
|
1,968
|
1,859
|
165
|
(b)Kuhasi:
· Nguruwe- 272
· Mbuzi-47
· Ng’ombe- 50
(c)Kukata meno:
· Nguruwe- 195
(d)Kukata pembe:
· Ng’ombe-45
· Mbuzi- 23
· Kondoo- 12
(e)Kukata midomo
· Kuku- 6,861
(f)Kukata kwato:
· Kondoo- 20
· Mbuzi- 9
(f) Uhamilishaji
· Ng’ombe-16
(g) Kuweka alama:
· Ng’ombe- 12
· Nguruwe- 19
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa