Majukumu ya Idara kwa ujumla
1.Kuendesha Semina na kujenga uelewa kwa viongozi wa Kata na Mitaa yote ndani ya Manispaa ya Morogoro
2. Kuendesha Semina kuhusu Uongozi bora na uwajibikaji kwa Madiwani, Watendaji wa Mitaa na Kata
3.Kufanya ziara ya mafunzo kwa timu ya uongozi wa Manispaa na Madiwani kwenye Halmashauri zingine
4.Kufanya usimamizi na kutembelea mitaa na kata zote kujua uwajibikaji wa kila mmoja katika kata na mtaa husika
5.Kuandaa na kukagua majalada ya watumishi na kujua anayehitaji kupanda cheo pamoja na kujua stahiki zao
6. Kuandaa vikao vya madiwani kwa kamati mbali mbali
7. kuandaa vikao vya kupandisha cheo watumishi wanaostahili kupanda cheo
8. Kuajiri wafanyakazi kwa kupata kibali kutoka Utumishi wa Umma
Idara ya Utumishi na Utawala ina vitengo viwili vikuu.Kitengo cha Utawala na Kitengo cha Utumishi.
Uchambuzi ufuatao unaonesha uwezo, upungufu, fursa navikwanzo katika sekta hii.
Uwezo :
Upungufu :
Fursa :
Vikwazo :
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa