Idara ya Afya
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina jumla ya vituo 51vya afya ambavyo vinamilikiwa na Taasisi mbali mbali kuanzia Serikali kuu hadiwatu binafsi na mashirika ya Dini. Kuna vituo vya tiba 4 na zahanati 36 navituo vya afya 11. Vituo hivyo vingi vipo eneo la katikati ya mji.
Muhtasariwa Huduma za Afya
HUDUMA |
SERIKALI KUU |
SERIKALI ZA MITAA |
KUJI- TOLEA |
MASHI-RIKA |
BINAFSI KWA FAIDA |
JUMLA |
Hospitali
|
01 |
01 |
0 |
02 |
0 |
04 |
Vituo vya Afya
|
0 |
03 |
04 |
01 |
03 |
16 |
Zahanati
|
0 |
15 |
06 |
02 |
13 |
36 |
JUMLA
|
01 |
19 |
10 |
05 |
16 |
51 |
Katika sekta ya Afya kuna maeneo makuu sita ambayoyanazingatiwa katika kuboresha Afya ya jamii. Maeneo hayo ni kamaifuatavyo:
Vile vile sekta ya Afya imegawanyika katika sehemu mbiliambazo ni Huduma za Tiba za Kinga na usafi wa mazingira.
a) Huduma za Tiba.
Sehemu hii inahusika sana na huduma zifuatazo
Upatikanaji wa dawana vifaa vingine vya uganga - See more at: http://www.morogoromc.go.tz/pages/26#sthash.mOWSx19D.dpuf
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa