• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Fedha na Biashara

Majukumuya Idara

1. Kutoa  mafunzo kwa watumishi sita juu ya taaluma ya kukusanya mapato 

2.  Kuandaa taarifa ya kila siku ya mapato 

3.  Kuweka   stakabadhi za mapato Katika kitabu cha mapato kwa kutumia mfumo wa EPICOR 

4.  Kuandaa rejesta za walipa kodi 

5.  Kufanya  utafiti wa kujua vyanzo vingine vya mapato kwa lengo la kupanua wigo wa     mapato.     

6.  Kufanya  mapitio ya Sheria ndogo ndogo za mapato. 

7.  Kuandaa   malipo ya kila siku na kuyaweka kwenye kitabu cha malipo kwa kutumia mfumo     wa Epicor 

8.  Kutunza  vocha za malipo zikiwa zimeambatanishwa na vielelezo vyake kwa Wakati     muafaka.     

9.  Kuandaa  malipo kwa watumishi, watoa huduma kwa wakati. 

10. Kutoa  mafunzo kwa watumishi kwa ngazi ya D-F 

11. Kuandaa  taarifa za hesabu za fedha za kila mwezi, robo mwaka na mwaka mzima. 

12. Kuandaa  taarifa za fedha na bajeti . 

 Biashara

1. Kununua   vifaa vya kutosha (vitendea kazi) 

2. Kutoa  mafunzo kwa wakufunzi (ToT) 

3. Kutoa  mafunzo kwa wajasiliamali 

4. Kutoa  leseni za vileo 

5. Kukusanya   ushuru wa hoteli kwa wakati 

6 Kukagua  maeneo ya biashara kama vile baa, nyumba     za kulala wageni. 

7. Kuandaa  semina kwa wadau 

8 Kutoa  elimu kwa umma kupitia vyombo vya habari 

9. Kutoa  mafunzo kwa Maafisa Watendaji wa Kata na viongozi wa Mitaa kuhusu taratibu     za kupata leseni. 



Matangazo

  • HERI YA SIKUKUU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA WA 2021 December 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA TATU TAREHE 20/6/2020 June 12, 2020
  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU October 20, 2020
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WANAOTAKA KUPANGA VIOSKI MANISPAA YA MOROGORO March 25, 2020
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MANISPAA MOROGORO YAIBUKA KINARA WA LISHE MKOA WA MOROGORO

    February 05, 2021
  • WANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA MADARASA

    January 28, 2021
  • WAITARA ARIDHISHWA NA USAFI MANISPAA YA MOROGORO, ATAKA KASI IONGEZWE KATIKA UPATIKANAJI WA DAMPO LA KISASA

    January 25, 2021
  • MEYA KIHANGA AWACHARUKIA WAALIMU WAKUU, AWATAKA WAJITATHIMINI

    January 19, 2021
  • Angalia Yote

Video

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA MOROGORO WAZIRI KOMBO ATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA NOV.24/2019.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa